Kairo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kairo | |||
| Kitovu cha mji wa Kairo | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Kairo katika Misri | |||
| Anwani ya kijiografia: 30°03′N 31°22′E / 30.05°N 31.367°E | |||
| Nchi | Misri | ||
|---|---|---|---|
| Mkoa | Kairo | ||
| Tovuti: www.cairo.gov.eg | |||
Kairo (Kar القاهرة al-Qāhira – „mwenye ushindi“) ni mji mkuu wa Misri na mji mkuu wa nchi zote za kiarabu.
Kairo inakadiriwa kuwa na wakazi 7,734,614 mjini penyewe pamoja na mitaa ya karibu ni 15,502,478.
Ndani ya eneo la Kairo ya leo ulikuwepo mji wa Kiroma wa Babiloni ya Misri. Waarabu walipovamia Misri mwaka 641 walijenga karibu kambi la jeshi lao lililoitwa Fustat. Fustat ikawa makao makuu ya watawala Waislamu Misri; miji yote miwili ya Babiloni na Fustat zikakua kuwa mji mmoja ulioitwa al-Qāhira (=mji wa ushindi) au Kairo.
Tazama pia [hariri]
- Piramidi za Giza ziko karibu na Kairo.
- Orodha ya miji ya Misri
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kairo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |