Nomino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Nomino ni aina ya neno linalotaja jina la kitu, mahali, mnyama, mtu, sifa au wazo. Nomino hutokea kwa umbo la umoja au uwingi: kitu, vitu; mtu, watu.

Nomino pamoja na kitenzi hufanya sentensi: mtu anatembea.