Papa Innocent III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Innocent III

Papa Innocent III (takriban 116116 Juni, 1216) alikuwa papa kuanzia 8 Januari, 1198 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lotario de' Conti di Segni. Alimfuata Papa Celestino III.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.