Arthur Schopenhauer
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arthur Schopenhauer (22 Februari 1788 - 21 Septemba 1860) alikuwa mwanafalsafa wa Ujerumani. Hasa alichunguza mapenzi ya binadamu.
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arthur Schopenhauer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |