Fiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Matanitu Tu-Vaka-i-koya ko Viti
फ़िजी गणराज्य
فِجی رپبلک

Jamhuri ya Visiwa vya Fiji
Bendera ya Fiji Nembo ya Fiji
Bendera Nembo
Wito la taifa: "Rerevaka na Kalou ka Doka na Tui"
"Umwogope Mungu na umheshimu malkia"
Wimbo wa taifa: God Bless Fiji
Lokeshen ya Fiji
Mji mkuu Suva
18°10′ S 178°27′ E
Mji mkubwa nchini Suva
Lugha rasmi Kiingereza, Kifij na Kihindustani (Hindi/Urdu)
Serikali
Rais
Waziri Mkuu
Mweyekiti wa Halmauri ya Machifu
Chifu Mkuu wa Fiji
Jamhuri chini ya kamati ya kijeshi
Ratu Josefa Iloilo
Frank Bainimarama
Ratu Ovini Bokini
Elizabeth II wa Uingereza
Uhuru
Tarehe
10 Oktoba 1970
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
18,274 km² (ya 155)
--
Idadi ya watu
 - Julai 2006 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
905,949 (ya 156)
46/km² (ya 148)
Fedha Fijian dollar (FJD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+12)
(UTC)
Intaneti TLD .fj
Kodi ya simu +679

-Fiji (Kifiji: Matanitu ko Viti; Kihindustani: फ़िजी, فِجی) ni nchi ya visiwani ndogo ya Melanesia katika Pasifiki yenye visiwa 322 na wakazi 844,330. Fiji iko upande wa mashariki ya Vanuatu, magharibi ya Tonga na kusini ya Tuvalu.

Kati ya visiwa vingi kuna 106 vyenye wakazi. Visiwa vikuu ni Vanua Levu na Viti Levu wanapokaa asilimia 87 za wakazi wote. Mji mkuu ni Suva.

Lugha rasmi visiwani ni Kifiji, Kiingereza na Hindustani inayofanana na Kihindi na Kiurdu.

Tangu 2006 jeshi chini ya Commodore Frank Bainimarama ilitwaa madaraka ya serikali.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Geography[hariri | hariri chanzo]

Ramani ya Fiji

Fiji ni funguvisiwa iliyoko mbali na visiwa vigine vya Pasifiki. Iko takriban 2.100 km kaskazini ya Auckland (New Zealand). Visiwa vyake 330 vina eneo la ardhi kavu la 18.270 km².


Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna