Auckland
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Auckland ni mji mkubwa kabisa katika nchi ya New Zealand. Mji wa Auckland una idadi ya wakazi wapatao milioni 1.4 (makisio). Kwa kipindi kifupi katika historia ya New Zealand, mji wa Auckland ulikuwa mji mkuu kabla hauja amishiwa katika mji mkuu mwingine wa sasa wa Wellington.
Viungo vya nje[hariri]
- Auckland - Visitor-oriented official website
- Auckland.Wiki - Wiki about Auckland not affiliated with Wikipedia
- Maps and aerial photos
- Auckland Street Map (from Wises.co.nz)
- Auckland Street Map (from Zoomin.co.nz)
- Maps & Aerial Photos (from the ARC map website - go to 'General Regional Information' (opens interactive map with aerial layer)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Auckland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |