Wellington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wellington

Mji wa Wellington (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Greater Wellington
Anwani ya kijiografia Latitudo: 41°17′20″S - Longitudo: 174°46′38″E
Kimo 12 m juu ya UB
Eneo hektari 29 (mji pekee)
hektari 813 (rundiko la mji)
Wakazi 179,466 (mji pekee)
448,959 (pamoja na rundiko)
Msongamano wa watu watu 290 (mji pekee) kwa km²
watu 444 (yote) kwa km²
Simu +64 (nchi), 4 (mji)
Mahali

Wellington ni mji mkuu wa Nyuzilandi mwenye wakazi 350,000 (2005). Iko upande wa kusini wa kisiwa cha kaskazini ikitazama milima ya kisiwa cha kusini. Imekuwa mji mkuu tangu 1865 ilipochukua nafasi ya Auckland. Mji wa Wellington umekuwa maarufu sana kwakuwa filamu ya The Lord of the Rings ilitengenezwa katika mji huo.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.