New Zealand
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Nyuzilandi)
|
|||||
| Wito la taifa: -- | |||||
| Wimbo wa taifa: God Defend New Zealand (Mungu atetee New Zealand) God Save The Queen |
|||||
| Mji mkuu | Wellington |
||||
| Mji mkubwa nchini | Auckland | ||||
| Lugha rasmi | Kiingereza Kimaori |
||||
| Serikali | Ufalme wa kikatiba Elizabeth II wa Uingereza Anand Satyanand John Key |
||||
| Uhuru Dominion (kujitawala) |
26 Septemba 1907 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
268,680 km² (ya 75) 2.1 |
||||
| Idadi ya watu - Desemba 2006 kadirio - 2006 sensa - Msongamano wa watu |
4,165,600 (ya 124) 4,143,279 15/km² (ya 193) |
||||
| Fedha | New Zealand dollar (NZD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
NZST9 (UTC+12) NZDT (UTC+13) |
||||
| Intaneti TLD | .nz10 | ||||
| Kodi ya simu | +64 |
||||
| Alama ya kimataifa ya magari | {{{vehicle_code}}} |
||||
New Zealand (Kiing. kwa "nchi mpya baharini"; pia Nyuzilandi; Kimaori: Aotearoa) ni nchi ya visiwani katika Pasifiki takriban 1,600 km upande wa mashariki-kusini ya Australia. Eneo lake ni visiwa viwili vikubwa na vingine vidogo.
Wellington ni mji mkuu wa New Zealand. Auckland ni mji mkubwa visiwani.
Lugha rasmi ni Kiingereza, Kimaori na lugha ya mikono ya viziwi.
[hariri] Miji
- Auckland
- Christchurch
- Wellington
- Hamilton
- Dunedin
- Tauranga
- Lower Hutt
- Palmerston North
- Napier
- Nelson
- Rotorua
- Invercargill
- New Plymouth
- Porirua
- Upper Hutt
- Whanganui
- Gisborne
[hariri] Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
| Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki |
| Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna |
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu New Zealand kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |