Kiribati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ribaberikin Kiribati
Jamhuri ya Kiribati
Bendera ya Kiribati Nembo ya Kiribati
Bendera Nembo
Wito la taifa: Te Mauri, Te Raoi ao Te Tabomoa
(Afya, amani na usitawi)
Wimbo wa taifa: Teirake Kaini Kiribati
Lokeshen ya Kiribati
Mji mkuu Teinainano (Tarawa)
1°28′ N 173°2′ E
Mji mkubwa nchini Betio (Tarawa)
Lugha rasmi Kiingereza , Kikiribati
Serikali Jamhuri
Anote Tong
Uhuru
kutoka Uingereza

12 Julai 1979
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
726 km² (ya 186)
0
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2000 sensa
 - Msongamano wa watu
 
105,432 (ya 197)
84,494
137/km² (ya 73)
Fedha Dollar ya Australia (AUD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+12, +13, +14)
(UTC)
Intaneti TLD .ki
Kodi ya simu +686

-

1 Supplemented by a nearly equal amount from external sources.


Kiribati ni nchi ya visiwani ya Polynesia na Mikronesia katika Pasifiki karibu na ikweta yenye wakazi 100,000. Eneo lake ni visiwa 33 vinavyosambaa kwa 5,200,000 [km²]].

Ramani ya Kiribati

Jiografia [hariri]

Kiribati ina eneo pana sana; umbali kati ya kisiwa cha mgahribi kabisa cha Banaba hadi kisiwa cha mashariki kabisa cha Millenium ni kilomita 4,835 km; umbali wa kaskazini-kusini ni 1,973 km.

Eneo hili liko katikati ya Hawaii na Australia. Visiwa 32 vimepangwa katika vikundi vinne:

Karibu visiwa vyote havipiti kimo cha mita 2 juu ya UB. Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani na kupanda kwa uwiano wa bahari wataalamu wamekadiria ya kwamba nchi itazama kabisa katika karne hii ya 21.

Mji mkuu wa Bairiki uko kwenye kisiwa cha Tarawa.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kiribati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna