Nauru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ripublik Naoero
Jamhuri ya Nauru
Bendera ya Nauru [[Picha:|110px|Nembo ya Nauru]]
Bendera Nembo
Wito la taifa: "God's Will First"
Wimbo wa taifa: Nauru Bwiema
Lokeshen ya Nauru
Mji mkuu (hakuna) 1
0°32′ S 166°55′ E
Mji mkubwa nchini Yaren
Lugha rasmi Kiingereza , Kinauru
Serikali
Rais
Jamhuri
Marcus Stephen
Uhuru
kutoka ulinzi wa Australia, New Zealand, na Uingereza -kwa niaba ya UM

31 Januari 1968
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
21 km² (ya 227)
‘‘(kidogo sana)’’
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
13,005 (ya 220)
621/km² (ya 13)
Fedha Dollar ya Australia (AUD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+12)
(UTC)
Intaneti TLD .nr
Kodi ya simu +674

-




Nauru ni nchi ya kisiwani ya Mikronesia katika Pasifiki ya kusini. Ni nchi ndogo sana yenye 21 km² pekee na wakazi 13,000.

Kisiwa jirani ya karibu ni Banaba katika Kiribati chenye umbali wa 300 km. Nauru haina mji mkuu.

Nauru imekaliwa na mchanganyiko wa watu kutoka Polynesia na Mikronesia tangu karne nyingi. Katika karne ya 19 kisiwa kilitwaliwa na Ujerumani kama sehemu ya koloni zake za Pasifiki. Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia kilikuwa eneo lindwa chini ya UM na utawala ulikuwa mkonono wa nchi tatu za Australia, New Zealand na Uingereza. Uhuru ulipatikana tagu 1968.

Uchumi wa Nauri ulitegemea fosfeti iliyopatikana kisiwani kwa wingi. Kwa miaka kadhaa kisiwa kilikuwa nchi tajiri kabisa. Hadi 2001 huduma za hospitali zilikuwa bure, hapakuwa na kodi na watu wengi walikuwa na magari mawili au matatu. Tangu kumaliza kwa fosfeti hali ya kiuchumi imekuwa vigumu sana. Serikali haina pesa tena na huduma nyingi zimekwama. 90 za wananchi wanakosa kazi.

Serikali imeanza kupokea msaada kutoka Australia.

Angalia pia [hariri]

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nauru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna