Kaledonia Mpya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nouvelle-Calédonie
Kaledonia Mpya
Bendera ya Kaledonia Mpya Nembo ya Kaledonia Mpya
Bendera Nembo
Wito la taifa: --
Wimbo wa taifa: La Marseillaise
Lokeshen ya Kaledonia Mpya
Mji mkuu Nouméa
°′  °′ 
Mji mkubwa nchini Nouméa
Lugha rasmi Kifaransa
Serikali
Rais wa Ufaransa
Kamishna Mkuu
Rais wa serikali ya Kaledonia Mpya
(Eneo la ng'ambo la Ufaransa)
Nicolas Sarkozy
Yves Dassonville
Harold Martin
Eneo la ng'ambo la Ufaransa
{{{established_events}}}
{{{established_dates}}}
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
18,575 km² (ya 154)
--
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Septemba 2004 sensa
 - Msongamano wa watu
 
237,000 (ya 182)
230,789
13/km² (ya 200)
Fedha CFP franc (XPF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+11)
(UTC)
Intaneti TLD .nc
Kodi ya simu +687

-Kaledonia Mpya (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - nuvel kaledoni) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa katika bahari ya Pasifiki. Kisiwa kikubwa cha Grande Terre pamoja na visiwa vingine ni sehemu ya Melanesia. Jumla la eneo la visiwa vyote ni 18,575 km² na kuna wakazi 230,789. Mji mkuu ni Nouméa. Hadi sasa pesa ni Franc ya pasifiki lakini kuna majidiliano kutumia Euro jinsi ilivyo Ufaransa bara.

Watu wa Kaledonia mpya watapiga kura mwaka 2014 kama watapendelea kujitegemea kama nchi huru au kuendelea kama sehemu ya Ufaransa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kaledonia Mpya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna