Nouméa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahali pa Noumea kwenye kisiwa cha Grande Terre
Bustani kwenye kitovu cha mji

Noumea (pia: Numea) ni mji mkuu wa Kaledonia Mpya (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - nuvel kaledoni) ambayo ni eneo la ng'ambo la Ufaransa katika bahari ya Pasifiki.

Mji ulianzishwa mwaka 1854 kwa jina la "Port-de-France" (Bandari ya Ufaransa) kwenye rasi ya kusini ya kisiwa cha Grande Terre. Idadi ya wakazi wake imefikia watu 91.000.

Uchumi wa Noumea hutegema utalii pamoja na migodi ya nikeli.

[hariri] Viungo vya Nje

Anwani ya kijiografia : 22°16'33"S, 66°27'29"E