Palau
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: | |||||
| Wimbo wa taifa: Belau loba klisiich er a kelulul | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Melekeok1 |
||||
| Mji mkubwa nchini | Koror | ||||
| Lugha rasmi | Kiingereza, Kipalauan, Kijapani (kisiwani Angaur) | ||||
| Serikali | Jamhuri inayoshirikiana na Marekani Johnson Toribiong |
||||
| Uhuru Tarehe |
1 Oktoba 1994 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
459 km² (ya 195) -- |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
19,907 (ya 217) 43/km² (ya 155) |
||||
| Fedha | US Dollar (USD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+9) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .pw | ||||
| Kodi ya simu | +680
- |
||||
| 1 Tar. 7 Oktoba 2006 ofisi za serikali zilihamia Melekeok kutoka Koror mji mkuu wa awali. 2 Jumla la pato la taifa pamoja na msaada wa Marekani (2001) | |||||
Palau ni nchi ya visiwani ya Mikronesia katika Bahari ya Pasifiki. Iko takriban km 500 upande wa mashariki wa Ufilipino. Jumla kuna visiwa 250 hadi 350 na idadi inategemea namna gani matazamaji anapendelea kuhesabu sehemu ya nchi kavu kuwa kisiwa kufuatana na ukubwa au udogo wake. Visiwa tisa vimekaliwa na watu na kisiwa kikubwa chenye km² 331 ni Babelthuap.
Hadi 1994 ilikuwa nchi lindwa chini ya Marekani kwa niaba ya Umoja wa Mataifa. Marekani inaendelea kuwajikiba kwa mambo ya kijeshi kufuatan na mkataba uliofanywa baada ya uhuru.
Mji mkuu ni Melekeok kwenye kisiwa cha Babelthuap.
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Palau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki |
| Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna |
