Vanuatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ripablik blong Vanuatu
République du Vanuatu

Jamhuri ya Vanuatu
Bendera ya Vanuatu Nembo ya Vanuatu
Bendera Nembo
Wito la taifa: "In God we stand"
Wimbo wa taifa: Yumi, Yumi, Yumi
Lokeshen ya Vanuatu
Mji mkuu Port Vila
17°45′ S 168°18′ E
Mji mkubwa nchini Port Vila
Lugha rasmi Bislama, Kiingereza, Kifaransa
Serikali
Rais
Waziri Mkuu
Jamhuri
Iolu Johnson Abil
Sato Kilman
uhuru
kutoka Ufaransa na Uingereza

tarehe


30 Julai 1980
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
12,189 km² (ya 161)
negligible
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
211,000 (ya 183)
17/km² (ya 188)
Fedha Vanuatu vatu (VUV)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+11)
(UTC)
Intaneti TLD .vu
Kodi ya simu +678

-Vanuatu ni nchi ya visiwani ndogo ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki ya kusini yenye visiwa 83. Lugha rasmi ni Bislama, Kiingereza Kifaransa. Iko takriban 1,750 km upande wa mashariki ya Australia, 500 km kaskazini-mashariki ya Kaledonia Mpya, magharibi ya Fiji na kusini ya Visiwa vya Solomon.

Kuna wakazi 202,609 (2004). Mji mkuu ni Port Vila.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vanuatu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna