Samoa ya Marekani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Amerika Samoa/Samoa Amelika
Samoa ya Marekani
Bendera ya Samoa ya Marekani Nembo ya Samoa ya Marekani
Bendera Nembo
Wito la taifa: "Samoa, Muamua Le Atua"  (Kisamoa)
"Samoa, Mungu awe mwanzo"
Wimbo wa taifa:
Lokeshen ya Samoa ya Marekani
Mji mkuu Pago Pago
{{{latd}}}°{{{latm}}}′ {{{latNS}}} {{{longd}}}°{{{longm}}}′ {{{longEW}}}
Mji mkubwa nchini
Lugha rasmi Kiingereza, Kisamoa
Serikali
Mkuu wa Dola
Gavana

George W. Bush
Togiola Tulafono
Eneo la ng'ambo la Marekani
Mkataba wa Berlin wa 1899
Mkataba wa kukabidhi Tutila
Mkataba wa kukabidhi Manu'a
1899
1900
1904
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
199 km² (ya 212)
0
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 2000 sensa
 - Msongamano wa watu
 
64,869 (ya 204)
57,291
353/km² (ya 33)
Fedha US Dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-11)
not observed (UTC)
Intaneti TLD .as
Kodi ya simu +1 684

-Samoa ya Marekani (Kisamoa: Amerika Samoa au Samoa Amelika) ni Eneo la ng'ambo la Marekani katika Pasifiki upande wa kusini wa nchi ya Samoa. Kuna wakazi 57,291 na eneo la nchi kavu ni 200 km².

Eeno lake ni sehemu ya funguvisiwa ya Samoa. Kutokea kwa eneo la pekee kulisababishwa na ukoloni wa karne ya 19 ambako Ujerumani na Marekani zilishindana juu ya visiwa hivi. Funguvisiwa iligawiwa kwa mkataba wa Berlin wa 1899. Sehemu ya mashariki ikawa upande wa marekani na sehemu ya magharibi upande wa Ujerumani.

Kwa katiba ya 1967 Samoa ya Marekani ikapewa madaraka ya kujitawala.


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna