Port Vila
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Port Vila na Vanuatu.
Port Vila ni mji mkuu wa nchi ya visiwani vya Vanuatu katika Pasifiki ya kusini. Anwani ya kijiografia ni 17°45′S 168°18′E. Kuna wakazi 29,356.
Port Villa iko kwenye mwambao wa kusini wa kisiwa cha Efate. Ni mahali penye bandari kubwa na uwanja wa ndege muhimu wa nchi.
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Port_Vila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

