Tonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Pule'anga Tonga
Kingdom of Tonga (Ufalme wa Tonga)
Bendera ya Tonga Nembo ya Tonga
Bendera Nembo
Wito la taifa: Ko e 'Otua mo Tonga ko hoku tofi'a
("Mungu na Tonga ni urithi wangu")
Wimbo wa taifa: Ko e fasi 'o e tu'i 'o e 'Otu Tonga
Lokeshen ya Tonga
Mji mkuu Nuku'alofa
21°08′ S 175°12′ W
Mji mkubwa nchini Nuku'alofa
Lugha rasmi Kitonga, Kiingereza
Serikali Ufalme
George Tupou V
Dr. Feleti Sevele
Ufalme
Uhuru
4 Juni 1970,
kutoka nchi lindwa chini ya Uingereza
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
748 km² (ya 186)
4
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
102,000 (ya 194)
153/km² (ya 671)
Fedha Pa'anga (TOP)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+13)
(UTC+13)
Intaneti TLD .to
Kodi ya simu +676

-

1 Takwimu za 2005.


Tonga.jpg

Tonga ni nchi ya visiwani ya Polynesia katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 102,321. Eneo lake ni funguvisiwa yenye visiwa 169 upande wa kusini ya Fiji na Samoa na upande wa kaskazini ya New Zealand. Visiwa 26 vina wakazi.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lote la nchi kavu ya visiwa ni 750 km². Kisiwa kikubwa ni Tongatapu chenye eneo la 260 km². Mahali pa juu katika Tonga ni volkeno ya mlima wa Kao (ambacho ni kisiwa cha Kao chenyewe) mwenye kimo cha 1,030 m.

Lugha na Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Kuna lugha tatu tu ambazo huzungumzwa nchini Tonga, Kiingereza (lugha rasmi), Kitonga (lugha rasmi) na Kiniuafo’ou ambayo imeanza kufifia.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tonga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna