Samoa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Malo Sa'oloto Tuto'atasi o Samoa
Independent State of Samoa
Bendera ya Samoa [[Picha:|110px|Nembo ya Samoa]]
Bendera Nembo
Wito la taifa: Fa'avae i le Atua Samoa
(Samoan: "Samoa is founded on God")
Wimbo wa taifa: The Banner of Freedom
Lokeshen ya Samoa
Mji mkuu Apia
13°35′ S 172°20′ W
Mji mkubwa nchini Apia
Lugha rasmi Samoan, Kiingereza
Serikali Parliamentary democracy
Malietoa Tanumafili II
Uhuru
Tarehe
1 Januari 1962
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
2,831 km² (174 ya)
0.3%
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
185,000 (185 ya)
65/km² (126 ya)
Fedha Tala (WST)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-11)
(UTC)
Intaneti TLD .ws
Kodi ya simu +685

-Bendi ya Polisi ya Samoa

Samoa ni nchi ya visiwani ya Polynesia katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 176,710 (2001 sensa). Nchi huru ya Samoa ni sehemu ya magharibi ya funguvisiwa ya Samoa. Sehemu ya mashariki iko chini ya Marekani.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Ramani ya Samoa

Eneo lake ni visiwa tisa (au kumi: kama kisiwa kidogo sana kinahesabiwa humo) jumla kilomita za mraba 2,934. Visiwa viwili vikubwa vya Upolu (1,118 km²) na Savai'i (1,708 km²) vina asilimia 96 za eneo lote. Kuna bado visiwa viwili vidogo vya Manono na Apolima vyenye wakazi halafu visiwa vingine visivyokaliwa na watu.

Mji mkuu wa Apia uko Upolu.

Mahali pa juu ni mlima Mauga Silisili mwenye kimo cha mita 1,858.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Samoa ilikuwa ufalme wa kujitegemea kabisa hadi 1889. Mwaka ule uliwekwa chini ya ulinzi wa nchi tatu za Uingereza, Ujerumani na Marekani. Baada ya kifo cha mfalme 1898 kulitokea fitina juu ya mfuasi wake na nchi za nje zilingia katia. Mkataba wa Berlin wa 1890 iligawa funguvisiwa ya Samoa kati ya Ujerumani na Marekani. Sehemu ya magharibi ikawa "Samoa ya Kijerumani".

Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia visiwa vilitekwa na New Zealand vikabaki chini ya nchi hiyo kama maeneo yaliyokabidhiwa na Shirikisho la Mataifa na baada ya 1945 na Umoja wa Mataifa kwa jina la "Samoa ya Magharibi".

Uhuru ulipatikana mawka 1962.

Lugha na Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Kuna lugha mbili tu ambazo huzungumzwa nchini Samoa, zote mbili zikiwa rasmi, yaani Kiingereza na Kisamoa.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Samoa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna