Mwaka mpya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mianga ya Mwaka Mpya mjini Sidney (Australia)

Mwaka mpya ni siku ya kwanza ya mwaka na mara nyingi ni sherehe na nafasi ya watu kutakiana heri na baraka za mwaka mpya.

Katika tamaduni mbalimbali nafasi hii ni sikukuu moja au zaidi pasipo na kazi za kawaida.

Tarehe ya mwaka mpya inategemea kalenda yake:

Nje ya mahesabu haya kuna kalenda nyingine zisizoanzisha mwaka kwa sherehe. Mifano ni:

  • mwaka wa shule
  • mwaka wa biashara ambako hesabu mpya inaanzishwa
  • mwaka wa kanisa ambayo katika sehemu kubwa ya Ukristo unaanza kwenye jumapili ya Adventi (majilio) ya kwanza.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Mwaka mpya" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Mwaka mpya kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.