Linus Torvalds

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Linus Torvalds mnamo 2018

Linus Benedict Torvalds (alizaliwa 28 Desemba, 1969) ni mhandisi wa programu wa Marekani ambaye kihistoria ndiye muundaji mkuu wa Linux kernel, inayotumiwa na aina mbalimbali za Linux na mifumo mingine ya uendeshaji kama vile Android

Alitunukiwa, pamoja na Shinya Yamanaka tuzo ya Teknolojia mnamo 2012 na Chuo cha Teknolojia cha Finland "kwa kutambua uundaji wake wa mfumo mpya wa uendeshaji katika kompyuta zinazoongozwa na Linux kernel ."[1] Pia ndiye mpokeaji wa tuzo ya Computer Society Computer Pioneer Award mnamo mwaka 2014 [2] na tuzo ya IEEE Masaru Ibuka Consumer Electronics Award mnamo 2018.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Technology Academy Finland – Stem cell pioneer and open source software engineer are 2012 Millennium Technology Prize laureates". Technologyacademy.fi. 19 April 2012. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 January 2014. Iliwekwa mnamo 24 April 2012.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Computer-Pioneer-Award". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 May 2014. Iliwekwa mnamo 5 May 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "List of IEEE Masaru Ibuka Consumer Electronics Award recipients". ieee.org. 3 April 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 March 2018.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linus Torvalds kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.