Palikir
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Palikir imekuwa mji mkuu wa Shirikisho la Mikronesia tangu 1989. Iko kwenye kisiwa cha Pohnpei. Idadi ya wakazi ni mnamo 6,444 (sensa ya 2000). Anwani ya kijiografia ni 6°55'N 158°9'E
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Palikir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |