Tbilisi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tbilisi (pia: Tiflis; Kigeorgia თბილისი ) ni mji mkuu wa Georgia. Iko kando la mto Kura (Mtkvari) kwa 41°43′N 44°47′E kwenye kimo cha 380 hadi 727 m juu ya UB.
Jiji lina wakazi milioni 1.345.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tbilisi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |