Helmut Kohl
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Helmut Josef Michael Kohl (amezaliwa tar. 3 Aprili, 1930 mjini Ludwigshafen am Rhein) ni mwanasiasa kutoka nchini Ujerumani. Anatokea katika chama cha CDU
kuanzia mwaka 1969 hadi 1976, alikuwa Waziri-Rais wa jimbo la Rhineland-Palatinate na kuanzia mwaka 1982 hadi 1998, alipata kuwa Chansela wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani. Kohl alisaidia mpango mzima wa kurudisha muungano wa Ujerumani na kushiriki vilivyo katika swala zima la muungano wa nchi za Ulaya.
Pia anafahamika kwa kujishuhisha na masuala ya kuchangia cha (CDU), kupiga vita dhidi ya ukiukwaji wa sheria katika vyama.
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Helmut Kohl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Otto von Bismarck · Leo von Caprivi · Prince Chlodwig zu Hohenlohe-Schillingsfürst · Bernhard von Bülow · Theobald von Bethmann Hollweg · Georg Michaelis · Georg von Hertling · Prince Maximilian of Baden | |
| Kipindi cha Mapinduzi (1918–1919) | Friedrich Ebert |
| Philipp Scheidemann · Gustav Bauer · Hermann Müller · Konstantin Fehrenbach · Joseph Wirth · Wilhelm Cuno · Gustav Stresemann · Wilhelm Marx · Hans Luther · Wilhelm Marx · Hermann Müller · Heinrich Brüning · Franz von Papen · Kurt von Schleicher | |
| Adolf Hitler · Joseph Goebbels · Lutz Graf Schwerin von Krosigk | |
| Konrad Adenauer · Ludwig Erhard · Kurt Georg Kiesinger · Willy Brandt ·Walter Scheel mtendaji · Helmut Schmidt · Helmut Kohl · Gerhard Schröder · Angela Merkel | |