Hyderabad
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hyderabad (Telugu: హైదరాబాద్ , Kiurdu: حیدرآباد ) ni jina la kutaja mji mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh huko nchini India. Huu ni miongoni mwa miji mikuu nchini ikiwa na eneo la 650 square kilometres (250 sq mi).[1] Jiji lina jumla ya wakazi wapatao 6,809,970 na wengineo zaidi ya 7,749,334 wanaoishi katika maeneo ya mji mkuu, na kuifanya Hyderabad kuwa mji wa nne duniani kwa wingi wa watu na mji wa sita kwa idadi ya wakazi wengi nchini India.[2]
Tazama pia[hariri]
Marejeo[hariri]
- ↑ Greater Hyderabad Municipal Corporation. GHMC. Rudishwa juu ya 17 Agosti 2011.
- ↑ Urban Agglomerations/Cities having population 1 lakh and above. Censusindia. The Registrar General & Census Commissioner, India. Rudishwa juu ya 17 Oktoba 2011.
- hyderabad-district-records-highest-literacy-rate. siasat.com. Rudishwa juu ya 6 Aprili 2011.
Viungo vya Nje[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Find more about Hyderabad on Wikipedia's sister projects: | |
| Definitions from Wiktionary |
|
| Images and media from Commons |
|
| Learning resources from Wikiversity |
|
| News stories from Wikinews |
|
| Quotations from Wikiquote |
|
| Source texts from Wikisource |
|
| Textbooks from Wikibooks |
|
- Hyderabad katika Open Directory Project
Hyderabad travel guide kutoka Wikisafiri- Map
- Official website of Greater Hyderabad Municipal Corporation
- Hyderabad Census data 2011
|
|||||||||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hyderabad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |