Amsterdam
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amsterdam ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Uholanzi. Inejulikana kama mji wa mifereji mingi mwenye wakazi 800,000, vyuo vikuu viwili na uwanja wa ndege wa kimataifa mkubwa wa "Schiphol".
[hariri] Viungo vya Nje
- Amsterdam guide
- Amsterdam housing
- Amsterdam Canal Boats
- DutchNews brings daily news from The Netherlands in English

