Papa Boniface VIII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Boniface VIII (takriban 1235 – 11 Oktoba 1303) alikuwa papa kuanzia 24 Desemba 1294 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Benedetto Caetani.
Alimfuata Papa Celestino V akafuatwa na Papa Benedikto XI.
Viungo vya nje [hariri]
Kuhusu Papa Boniface VIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |