Zabibu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zabibu ni tunda la mzabibu (vitis vinifera).
Zabibu moja ni fuu inakua pamoja na fuu nyingine 6 - 300 kwenye mshikano au shazi kama ndizi. Zabibu hupatikana kwa rangi mbalimbali hasa kijani, njano, buluu, nyeusi na namna za nyekundu.
Zabibu zinajulikana hasa kama chanzo cha divai lakini huliwa kama tunda, hufanywa kuwa maji ya zabibu, kuwa jem au kukaushwa kuwa zabibu kavu. Mbegu zake ndogo hutoa mafuta.
[hariri] Viungo vya Nje
- Integrated Taxonomic Information System entry for Grape family
- How To Grow Grapes - Article on how to grow grapes
- Area under vine (pdf)
- Wild Grapes
- 300 Grape Varieties for Wine
- Wine Wiki
| Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zabibu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |