Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka National Basketball Association)
Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani (kwa Kiingereza: National Basketball Association au kifupi NBA) ni chama cha kitaifa cha timu za mpira wa kikapu zinazocheza katika ligi kuu huko Marekani.
Orodha ya timu za ukanda wa Mashariki (kwa Kiingereza: "Eastern Conference"):
- Atlanta Hawks
- Boston Celtics
- Charlotte Bobcats
- Chicago Bulls
- Cleveland Cavaliers
- Detroit Pistons
- Indiana Pacers
- Miami Heat
- Milwaukee Bucks
- New Jersey Nets
- New York Knicks
- Orlando Magic
- Philadelphia 76ers
- Toronto Raptors
- Washington Wizards
Orodha ya timu za ukanda wa Magharibi (kwa Kiingereza: "Western Conference"):
- Dallas Mavericks
- Denver Nuggets
- Golden State Warriors
- Houston Rockets
- Los Angeles Clippers
- Los Angeles Lakers
- Memphis Grizzlies
- Minnesota Timberwolves
- New Orleans Hornets
- Oklahoma City Thunder
- Phoenix Suns
- Portland Trail Blazers
- Sacramento Kings
- San Antonio Spurs
- Utah Jazz
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |