Simon Bolivar
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Simón Bolívar)
Simon Bolivar alikuwa mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania. Nchi mbalimbali humkumbuka kama baba wa taifa lao.
Alizaliwa 24 Julai 1783 mjini Caracas (wakati ule: Granada mpya, leo: Venezuela) akaaga dunia mjini Santa Marta (Kolombia) tar. 17 Desemba 1830.
Kama jemadari alishinda jeshi la Hispania kati ya 1810 na 1820.
Bolivar alikuwa kwa nyakati mbalimbali
- rais wa kwanza wa "Gran Columbia"
- rais wa kwanza wa Bolivia
- rais wa pili na wa tatu wa Venezuela
- Simon Bolivar
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simon Bolivar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |