Lituanya
|
|||||
| Wito la taifa: Tautos jėga vienybėje! "Nguvu ya Taifa ni Umoja!" |
|||||
| Wimbo wa taifa: Tautiška giesmė | |||||
| Mji mkuu | |||||
| Mji mkubwa nchini | Vilnius | ||||
| Lugha rasmi | Kilituanya | ||||
| Serikali | Jamhuri, serikali ya kibunge Dalia Grybauskaitė Andrius Kubilius |
||||
| Uhuru Ilitangazwa Ilitangazwa Ilikubaliwa |
16 Februari 1918 11 Machi 1990 6 Septemba 1991 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
65,303 km² (ya 123) 1,35% |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
3,483,972 (ya 125) 55/km² (ya 113) |
||||
| Fedha | Litas (Lt) (LTL) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .lt1 | ||||
| Kodi ya simu | +370
- |
||||
| 1 Pia .eu pamoja na nchi za Umoja wa Ulaya | |||||
Lituanya (au pia Lituania) ni nchi iliyoko Kaskazini Mashariki mwa Ulaya. Inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Lituania. Mji mkuu wa Litwania ni Vilnius.
Yaliyomo |
Jiografia [hariri]
Lituanya iko kwenye mwambao wa Bahari ya Baltiki.
Wilaya za Lituanya [hariri]
Miji [hariri]
Historia [hariri]
1940 - 1990 nchi ilikuwa jamhuri mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti na kabla hayo sehemu ya Dola la Urusi.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lituanya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||