Mbabane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Mbabane
Nchi Uswazi
SwazilandKaart.png

Mbabane ni mji mkuu wa Uswazi ikiwa na wakazi 70,000 (2003). Ofisi za serikali ziko hapa lakini bunge na jumba la mfalme ziko mjini Lobamba.

Mji uko kwenye milima ya Mdimba kwenye kimo cha 1200m juu ya UB.

[hariri] Historia

Mji ulianzishwa na Waingereza mwaka 1902 BK baada ya vita dhidi ya makaburu ukawa makao makuu ya kiutawala wa eneo la Uswazi. Jina limetokana na chifu Mbabane Kunene aliyekuwa mkuu wa sehemu ile wakati wa kuunda mji.

[hariri] Uchumi

Nguvu ya kiuchumi ya Mbabane ni migodi ya karibu ya bati na dhahabu.

[hariri] Weblinks

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbabane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.