Reptilia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Reptilia (Watambaachi) | ||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mamba ni reptilia mkubwa
|
||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||
|
||||||||
| Ngazi za chini | ||||||||
|
Kuna oda nne za reptilia hai
|
Reptilia (kutoka Kilatini "reptilis" mwenye kutambaa; pia: mtambaazi, mtambaachi, mnyama mtambaaji[1]) ni kundi la wanyama wenye damu baridi, ngozi ya magamba badala ya nywele au manyoya wakipumua kwa mapafu.
Wanazaa kwa njia ya mayai; wengine wanatega mayai na wadogo wanatoka nje bila ngazi ya kiluwiluwi au kwa spishi kadhaa mayai yanaiva ndani ya tumbo la mama na wadogo wanazaliwa hai.
Kibiolojia ni ngeli ya vertebrata. Jina limetokana na maumbile yao maana wanatambaa na tumbo juu ya ardhi; ama kwa miguu mifupi kama mijusi au bila miguu kama nyoka.
Uainishaji [hariri]
- Ngeli Reptilia
Dinosauria wa kale walikuwa reptilia wakubwa sana walikwisha miaka milioni 65 iliyopita.
Maelezo [hariri]
- ↑ KAST:reptile=reptilia;KKK/ESD: reptile-mtambaazi; KKK/SED: mtambaachi-reptile,snake; KKS: mtambaachi-nyoka
Picha [hariri]
-
Joka wa Komodo ni mjusi mkubwa kabisa
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Reptilia kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Reptilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |