Carl Sagan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Carl Sagan
Carl Sagan (1980
AmezaliwaNovemba 9, 1934
AmefarikiDesemba 20, 1996
Kazi yakemwanaastronomia wa Marekani


Carl Edward Sagan (Novemba 9, 1934 - Desemba 20, 1996) alikuwa mwanaastronomia wa Marekani aliyejaribu kufanya sayansi kuwa maarufu.

Alifikiria kuhusu maisha gani katika sayari nyingine yanaweza kuwepo. Alisema kuwa watu wanapaswa kutafuta maisha kwenye sayari nyingine (SETI).

Yeye ni maarufu ulimwenguni kwa vitabu vyake vya sayansi na mfululizo wa televisheni Cosmos, ambalo aliandika na kuwasilisha. Alisema watu wanapaswa kutumia njia ya kisayansi.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Sagan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.