Swala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Swala
Swala tomi (Thomson's gazelle)
Swala tomi
(Thomson's gazelle)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J.E. Gray, 1821
Nusufamilia: Antilopinae (Wanyama wanaofanana na swala)
Jenasi: Aepyceros Sundevall, 1847

Ammodorcas Thomas, 1891
Antidorcas Sundevall, 1847
Antilope Pallas, 1766
Dorcatragus Noack, 1894
Eudorcas Fitzinger, 1869
Gazella Blainville, 1816
Litocranius Kohl, 1886
Nanger Lataste, 1885
Pantholops Hodgson, 1834
Procapra Hodgson, 1846
Saiga Gray, 1843

Spishi: Angalia katiba

Swala ni wanyama walao manyasi katika nusufamilia Antilopinae na Aepycerotinae za familia Bovidae. Hupatikana katika maeneo yenye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika. Spishi nyingine hukimbia kilometa 80 kwa saa na zina uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yao ni ya mchanga na nyeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui yao wakubwa ni simba, chatu na chui.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Crystal Clear app babelfish.png Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Swala kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.