Maksai aktiki
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Maksai aktiki | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Maksai aktiki (pia huitwa Maksai maski kutoka Kiing.: muskox; Kisayansi: Ovibos moschatus) ni mnyama wa Aktiki wa jenasi Ovibos mwenye manyoya mengi na harufu ya maski. Maksai aktiki wanaishi maeneo ya Aktiki ya Kanada na Grinlandi, na pia nchini mwa Uswidi, Siberia na Norwe.