Majadiliano:Swala

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa nini ukurasa huu umesogezwa kutoka "swala"? Kufuatana na kamusi zote ninazojua, "swala" ni tahajia inayostahabiwa.ChriKo (majadiliano) 00:06, 16 Aprili 2009 (UTC)[jibu]

Asante, ChriKo. Umesema ukweli. Naona ilisogezwa zaidi ya miaka miwili iliyopita tulipokuwa tunawakosa wasimamizi wa kila siku. Sasa nimeurudisha ukurasa kuwa "swala". Wasalaam, Baba Tabita (majadiliano) 08:35, 16 Aprili 2009 (UTC)[jibu]