Nikola Tesla
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nikola Tesla |
|
|---|---|
|
|
|
| Alizaliwa | 10 Julai 1856 Austria-Hungaria |
| Alikufa | 7 Januari 1943 New York |
| Nchi | Austria-Hungaria, Marekani |
| Kazi yake | muhandisi na mtaalamu wa fizikia |
Nikola Tesla (10 Julai 1856 – 7 Januari 1943; Kiserbia: Никола Тесла) alikuwa mhandisi na mtaalamu wa fizikia kutoka milki ya Austria-Hungaria aliyehamia baadaye Marikani. Tesla alizaliwa katika familia ya Kiserbia, alisoma uhandisi akajishughulisha hasa na umeme na sumakuumeme.
1884 alihamia Marekani alipoajiriwa na Thomas Edison lakini baadaye alitoka katika kampuni yake.
Kati ya mengi aliyobuni au alipochangia ni
[hariri] Stempu zilizotolewa kwa heshima ya Tesla
| 160px | 160px | 160px | 160px |
[hariri] Viungo vya Nje
- Nikola Tesla Museum
- Tesla's Wardenclyffe Science Center Plaque [1]
- NikolaTesla.fr - More than 1,000 documents on Tesla