Kisasili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisasili ni habari inayotokeza imani na maadili ya utamaduni fulani kuhusu asili ya ulimwengu au ya mambo muhimu ya msingi katika maisha ya [[binadamu.
Mara nyingi habari hiyo inatazamwa kuwa si ya kihistoria, ingawa inaweza kuwasilisha ukweli fulani.
Lugha nyingi zinatohoa neno la Kigiriki μύθος, mythos, likitamkwa myuthos.