Antoninus Pius
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antoninus Pius (19 Septemba, 86 – 7 Machi, 161) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 11 Julai, 138 hadi kifo chake. Alimfuata Kaizari Hadrian.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antoninus Pius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |