Shenzhen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Shenzhen
Skyline ya Jiji la Shenzhen
Nchi China
Jimbo Guangdong
Idadi ya wakazi
 - Mji 1,968,300
Website: www.sz.gov.cn

Shenzhen (深圳市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 12 wanaoishi katika mji huu.


ČLR-pahýl.png Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shenzhen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.