Spice

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Spice
Spice Cover
Studio album ya Spice Girls
Imetolewa 4 Novemba, 1996
Imerekodiwa 1995 – 1996
Aina Pop, R&B, dance
Urefu 40:07
Studio Virgin
Mtayarishaji Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy, Absolute
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Spice Girls
Spice
(1996)
Spiceworld
(1997)
Single za kutoka katika albamu ya Spice
  1. "Wannabe"
    Imetolewa: 8 July 1996
  2. "Say You'll Be There"
    Imetolewa: 14 October 1996
  3. "2 Become 1"
    Imetolewa: 16 December 1996
  4. "Mama /
    Who Do You Think You Are"

    Imetolewa: 3 March 1997

Spice ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Novemba katika mwaka wa 1996 na studio ya Virgin Records.Albamu ilirekodiwa kwenye studio za Olympic Studio ya mjini Barnes, London kati ya mwaka 1995 na 1996, na watayarishaji kama vile Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy na watayarishaji wawili wajulikanao kwa jina la Absolute.

Single tano zilitolewa kutoka katika alabmu hii: "Wannabe", "Say You'll Be There", "2 Become 1", "Who Do You Think You Are" na "Mama"; "Who Do You Think You Are" na "Mama" zilitolewa kama A-side na B-side kwa upande wa Uingereza, Ireland na nchi zingine. Single ya kwanza, "Wannabe", imekwenda shika nafasi ya kwanza katika nchi takriban 31, na single ya pili, "Say You'll Be There" na "2 Become 1", zimeshika nafasi ya kwanza katika nchi zipatazo 53.[1] "Who Do You Think You Are" ilitolewa kama single rasmi ya Comic Relief kwa upande wa UK ikiwa kama double A-side pamoja na "Mama" na nyimbo zote mbili zilifikia kilele cha chati za 20 bora katika Ulaya, Australia na New Zealand.

Spice walipata mafanikio makubwa sana ulimwengu. Albamu ilitunukiwa Platinum 10 nchini UK na British Phonographic Industry na nchini Canada na Canadian Recording Industry Association, Platinum 8 kwa upande wa Ulaya zilitolewa na International Federation of the Phonographic Industry katika tuzo zao za mwaka wa 1997 mashuhuri kama European music awards, na 7x Platinum kwa upande Marekani zilitolewa na Recording Industry Association of America. Kwa ujumla, albamu imeuza kopi milioni 23 kwa hesabu ya dunia nzima, na kuifanya iwe albamu iliouza vizuri katika historia ya makundi ya muziki kwa upande wa wasichana.[2][3]

Yaliyomo

[hariri] Orodha ya nyimbo

# Jina Mtunzi (wa) Urefu
1. "Wannabe"   Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 2:52
2. "Say You'll Be There"   Spice Girls/Elliott Kennedy. Imetayarishwa na: Absolute 3:56
3. "2 Become 1"   Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 4:00
4. "Love Thing"   Spice Girls/Elliott Kennedy. Imetayarishwa na: Absolute 3:37
5. "Last Time Lover"   Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:11
6. "Mama"   Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 5:03
7. "Who Do You Think You Are"   Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 3:59
8. "Something Kinda Funny"   Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:02
9. "Naked"   Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:26
10. "If U Can't Dance^"   Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 3:50
11. "Seremos Uno Los Dos^^"   Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 4:00


[hariri] Matunukio, vilele, na mauzo

Chati[4] Nafasi
Iliyoshika
Matunukio Mauzo/Usafirishaji[5]
Argentina 1 3× Platinum 170,000
Australia 3 6× Platinum[6] 420,000
Austria 1 Platinum[7] 50,000
Belgium 3× Platinum[8] 150,000[9]
Brazil - 2× Platinum[10] 500,000
Canada 1 10× Platinum (Diamond)[11] 1 million[12]
Chile 1 4× Platinum 90,000
Europe 1 8× Platinum[13] 9.4 million[14]
Finland 4 2× Platinum[15] 76,000[16]
France 2 3× Platinum[17] 1.05 million[18]
Germany 6 3× Gold[19] 450,000
Italy 2 5× Platinum[20] 500,000[9]
Japan 3× Platinum[21] 1 million[9]
Hong Kong Platinum 40,000[9]
Mexico Gold[22] 100,000[23]
Netherlands 1 3× Platinum[24] 300,000
New Zealand 1 6× Platinum[9] 90,000[9]
Norway 1 2× Platinum[25] 80,000
Hispania 1 11× Platinum (Diamond)[26] 1.10 million[27]
Sweden 1 2× Platinum[28] 120,000
Switzerland 5 2× Platinum[29] 100,000
United Kingdom 1 10× Platinum (Diamond)[30] 3.02 million[31][32]
Marekani 1 7× Platinum[33] 7.4 million[34]

[hariri] Marejeo

  1. Biography. Spice Girls official website. Rudishwa juu ya August 30, 2009.
  2. Spice Girl's biography. Rollings Stone Magazine. Rudishwa juu ya September 7, 2009.
  3. "Behind the Music: Spice Girls". VH1. Recorded in 2003. Retrieved 18 August 2007.
  4. Hit Parade (1996). European charts. hitparade.ch. Rudishwa juu ya 2008-09-05.
  5. International Federation of the Phonographic Industry (2006). Certification Award Levels (PDF). ifpi.org. Rudishwa juu ya 2008-09-05.
  6. ARIA
  7. IFPI Austria
  8. Belgian Certifications
  9. 9.0 9.1 9.2 9.3 9.4 9.5 Sunday Mirror .It's a Spice World: Spice The Album, what it sold. Aug 10, 1997
  10. ABPD
  11. CRIA
  12. CRIA. Sales and Certifications for Album's Spice Girls. Canadian Recording Industry Association.
  13. IFPI. Sales Certifications European. "Spice" 8× Platinum. International Federation of the Phonographic Industry.
  14. Charts in France. Les 100 Albums les plus vendus en Europe de l'histoire. "The 100 best-selling albums in Europe". 27 August 2007. Retrieved 23 January 2009.
  15. IFPI Finland
  16. Finnish Sales
  17. Disque En France
  18. French Sales
  19. IFPI Germany
  20. Spice Girls Official. Timeline, 5 April 1997: quadruple platinum of sales than 400,000 in Italy alone. 19 Management.
  21. Recording Industry Association of Japan. Recording Industry Association of Japan. Rudishwa juu ya 2008-06-06.
  22. AMPROFON
  23. AMPROFRON. 100,000 copies, Gold
  24. NVPI
  25. IFPI Norway
  26. Spanish Gold & Platinum Certification Database. Spice Diamond certification.
  27. http://www.spiceheart.com/sg01.php
  28. IFPI Sweden
  29. IFPI Switzerland
  30. BPI
  31. Evening Chronicle, (Newcastle, England). Top 10 selling albums of the 1990s in the UK. quote: "Spice: 3.02m". August 16, 2003. Retrieved January 13 2009.
  32. Everyhit. Spice sold 2.9 million All-time best-selling albums, UK Database.
  33. Gold & Platinum. RIAA. Rudishwa juu ya September 7, 2009.
  34. Ask Billboard July 2007

[hariri] Soma zaidi



Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spice kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine