Victoria Beckham
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Victoria Beckham | |
|---|---|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Victoria Caroline Adams |
| Amezaliwa | 17 Aprili 1974 Goffs Oak, Hertfordshire, Uingereza |
| Aina ya muziki | Pop |
| Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, msanifu wa mavazi, mfanyabiashara |
| Miaka ya kazi | 1994-mpaka sasa |
| Studio | Virgin, 19, Telstar |
| Ameshirikiana na | Spice Girls |
Victoria Caroline Beckham (amezaliwa tar. 17 Aprili, 1974) ni mwimbaji na msanifu mavazi kutoka nchini Uingereza. Anafahamika sana kwa kuwa kama mmoja kati ya wanakundi la wasichana waimbao muziki wa pop la Spice Girls. Pia, anafahamika zaidi kwa vile kaolewa na mchezaji soka la kulipwa huko nchini Uingereza - David Beckham, ambaye pia mwanasoka mashuhuri kabisa. Jina lake la utani ni Posh Spice, kwa sababu anapenda kuvaa nguo zinazimpendezesha kwake.
[hariri] Viungo vya Nje
- Victoria Beckham's official site
- Victoria Beckham Collection website
- Victoria Beckham kwenye Internet Movie Database
|
||||||||||||||||||||||||||
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Uingereza bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Victoria Beckham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |