Murray Gell-Mann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Murray Gell-Mann, 2007

Murray Gell-Mann (amezaliwa 15 Septemba 1929) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa wa kwanza kutumia jina la quark kwa sehemu za atomu. Mwaka wa 1969 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Murray Gell-Mann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.