Yangon
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yangon (pia:Rangun) ni mji mkubwa wa Myanmar. Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi 2005.
Kuna wakazi zaidi ya milioni 4. Mji uko kando la mto Hlaing karibu na bahari.
[hariri] Picha za Rangun
| Makala hiyo kuhusu "Yangon" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Yangon kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

