Budapest
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Budapest ni mji mkuu wa Hungaria pia mji wake mkubwa mwenye wakazi milioni 1.7. Mji uko pande zote mbili za mto Danubi. Mji wa leo ulianzishwa 1873 kwa kuunganisha miji mitatu ya jirani ya Buda, Obuda na Pest.
Jiografia [hariri]
Bupapest iko mahali ambako mto Danubi umetoka katika milima ya Hungaria ya Kati na kuingia katika tambarare. Mahali pa juu mjini ni mlima wa Janos mwenye kimo cha m 527.
Utamaduni [hariri]
Picha:Budapest Burg Nacht.jpg
Danubi mjini Budapest pamoja na kilima cha boma
- Budapest tourism info Portal
- Info Budapest
- Information portal about Budapest
- History of Budapest
- Budapest tourist map
| Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Budapest kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |