Luigi Pirandello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Luigi Pirandello (28 Juni, 186710 Desemba, 1936) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Italia. Alijihusisha hasa na tamthiliya na nadharia yake. Mwaka wa 1934 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luigi Pirandello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine