Heroe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Heroe
Heroe wakubwa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Phoenicopteriformes (Ndege kama heroe)
Familia: Phoenicopteridae (Ndege walio na mnasaba na heroe)
Bonaparte, 1831
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Heroe ni ndege wa jenasi Phoenicopterus, jenasi pekee ya familia ya Phoenicopteridae. Ndege hawa hukaa kwa maji ya chumvi kwa makundi makubwa. Wana miguu mirefu na shingo ndefu na nyembamba. Wakiruka angani hunyosha shingo. Urefu wao ni kati ya futi 3 na 5. Hula vijimea (algae) na nduvi ndogo ambazo huzikamata na domo lao zungu linalotumika kama chujio. Tago lao ni kifungu cha matope kwa tundu fupi ambalo ndani lake yai moja linatagwa.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za Amerika[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]