Fransisko Saveri
Fransisko Saveri ni jina la kawaida la Francisco de Jasso y Azpilicueta (Javier, Navarra, leo nchini Hispania, 7 Aprili 1506 - kisiwa cha Shangchuan, China, 3 Desemba 1552) alikuwa padri wa Shirika la Yesu, ambalo alichangia kulianzisha pamoja na Ignas wa Loyola.
Baadaye alitangaza Injili katika nchi nyingi za Ulaya, Afrika na Asia hata akawa kati ya wamisionari maarufu zaidi ya historia ya Kanisa.
Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 25 Oktoba 1619, halafu Papa Gregori XV akamtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi (12 Aprili) 1622.
Anaheshimiwa na Waanglikana na Walutheri pia.
Sala yake [hariri]
Ee Mungu wa mataifa yote ya dunia, uukumbuke umati wa Wapagani ambao, ingawa waliumbwa kwa sura yako, hawajakufahamu wewe wala kifo cha Mwanao Yesu Kristo, mwokozi wao.
Fanya kwamba, kwa sala na kazi za Kanisa lako takatifu, wakombolewe kutoka ushirikina wote na utovu wa imani wakaletwe kwenye ibada zako.
Kwa njia ya yule uliyemtuma awe ufufuo na uzima wa watu wote, huyo Mwanao Yesu Kristo, Bwana wetu.
Tanbihi [hariri]
- This article incorporates material from the Schaff-Herzog Encyclopedia of Religion
- Attwater, Donald. (1965) A Dictionary of Saints. Penguin Books, Middlesex, England. Reprint: 1981.
- Jou, Albert. (1984) The Saint on a Mission. Anand Press, Anand, India.
Viungo vya nje [hariri]
- "St. Francis Xavier, Apostle of the Indies, Confessor", Butler's Lives of the Saints
- The Life and Miracles of St. Francis Xavier, Apostle and Missionary of the Indies
- Basilica of Bom Jesus, Old Goa The Shrine of Saint Francis Xavier
- Saint Francis Xavier University Antigonish, Nova Scotia
- The Life of St. Francis Xavier
- The life and letters of St. Francis Xavier Francis Xavier, Saint, 1506-1552 Coleridge, Henry James, 1822-1893 London: Burns and Oates, (1872)
- Xavier's World website of Navarre Department of Education celebrating 500th anniversary of their patron saint's birth
- A critical view
- St. Francis Xavier - Pictorial Biography
- Saint François Xavier (Kifaransa)
- St. Francis of the Millennium
- The Goa Jesuit Province of the Society of Jesus: The Jesuits in Goa
- The Feast of St Francis Xavier in Goa
- Picture of Shangchuan island. The chapel marks the location of his death
- Another picture of the church on Shangchuan island
- Old map of Shangchuan island
- The Miracles of St Francis Xavier by John Hardon, SJ
- St Francis Xavier: History of His Incorrupt Body
- Brief History of St Francis Xavier
- Saint Francis Xavier at Patron Saints Index
- St Francis Xavier Catholic Parish in Brunswick, GA
- St. Francis Xavier Catholic Church in Parkersburg, WV
- Yomiuri Shimbun: St. Francis Xavier – 90% name recognition amongst primary school students in Japan, 2008.
- Hidemi Mizuta, "Intercultural Contact in the Age of St. Francis Xavier" Hiroshima Interdisciplinary Studies in the Humanities, Vol.1 page.15-24
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fransisko Saveri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |