Robert De Niro
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Robert De Niro | |
|---|---|
| Amezaliwa | James Eugene Carrey 17 Agosti 1943 New York City |
| Miaka ya kazi | 1965- |
Robert De Niro (amezaliwa tar. 17 Agosti, 1943 mjini New York City) ni mwigizaji filamu kutoka nchini Marekani. Miongoni mwa filamu zake maarufu ni pamoja na Mean Streets (1973), The Godfather: Part II (1974), Taxi Driver (1976), The Deer Hunter (1978). Katika miaka ya karibuni, amepata kucheza katika filamu kama Casino (1995) na The Good Shepherd (2006).
[hariri] Viungo vya Nje
- Robert De Niro kwenye Internet Movie Database
- AMC's Photo Gallery: Robert De Niro, Hollywood Icon
- Tiscali UK: Robert De Niro
- Robert De Niro katika Rotten Tomatoes
- Robert De Niro Videography by NIAF
- Telegraph.co.uk Article about Robert De Niro
- Finding Aids for Robert De Niro's papers and costumes and props collection at the Harry Ransom Center