Mvua ya mawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

thumb|Matone ya mvua ya mawe. Mvua ya mawe(mvua ya mkaragazo) ni aina ya mvua inayonyesha kwa namna ya mawe kutokana na maji yake kuganda kwa baridi.

Tone zito zaidi lililowahi kupimwa lilinyesha sehemu za Gopalganj (Bangladesh) tarehe 14 Aprili 1986, likiwa la kilogramu 1.02.

Katika Biblia (Kitabu cha Kutoka) ni moja ya mapigo 10 yaliyowapata Wamisri wakati wa Musa.